Je, kifua kikuu (TB) ni nini?
TB ni maambukizo yanayosababishwa na bakteria au vijidudu vya TB
TB inaenea kupitia hewani
TB huponywa kwa kutumia viuasumu maalum
Kukohoa kwa muda zaidi ya wiki 2
Kikohozi chenye kamasi au damu
Homa, kuhisi baridi au jasho usiku
Kupoteza uzito haraka
Kujisikia uchovu kila mara
Kupoteza hamu ya kula
Uvimbe au maumivu
Vijidudu vya TB vinaweza kulala kwenye mwili wako na
Huwezi kueneza vijidudu vya TB kwa watu wengine
TB inayolala inaweza kuamka na kufanya uwe mgonjwa
Kipimo cha ngozi au kipimo cha damu cha TB kinaweza kugundua TB inayolala
TB inayolala inaweza kutibiwa na viuasumu maalum ili kuzuia vijidudu vya TB kuamka
Watu ambao wameishi au walitumia muda na mtu mwenye TB
Watu wenye hali ya kimatibabu au wanapata tiba inayoathirika mfumo wao wa kinga
Watoto wadogo
Watu ambao walizaliwa au wameishi katika nchi zenye TB nyingi
Mwone daktari (GP) wako au kliniki ya TB clinic ya eneo lako
Pata eksrei ya kifua
Toa sampuli ya mate
upimaji na matibabu ya TB ni bure kwa kila mtu kwenye kliniki za TB za NSW.
Kupata maelezo zaidi tembelea health.nsw.gov.au​.​